Azam kuonesha Michuano ya AFCON kupitia chaneli mpya ya UTV

Azam kuonesha Michuano ya AFCON kupitia chaneli mpya ya UTV

Itakuwa hauko sawa upstairs mkuu (sorry )

Yaani team ya taifa ipo nje ya nchi kuliwakilisha taifa katika mashidano ya kiafrica. ... mashidano ambayo yanatoa fursa kwa nchi shirikishi kuweza kupata platform ya kujitangaza kimataifa na hatimae nchi hizo zitapata opportunity ya kujitangaza nakukuza uchumi wa nchi kwa kutarajia kupokea watalii kwa wingi na wawekezaji toka nchi mbali mbali. ..Halafu wewe unaona sawa kabisa. ...

Shirika la habari la Taifa kutoonyesha mashidano hayo! !!!! Like seriously? .....
Kuna watu hawaelewi maaana ya Television ya Taifa manipa majukumu sio kabisa ,mtu alilaumu TBC kwa kuwa political biased nitamuelewa ,akilaumu kwa kutoonesha bunge live nitamuelewa lakini mpira?au burudani zingine mubashara siwezi kumuelewa kamwe!
 
Back
Top Bottom