Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Asante mkuu mkolaj kwa updates
Mkuu mkolaj asante sana kwa updates murua kabisa. Fahamu kwamba mikia wamechukizwa sana na huu ushindi wa Timu ya Wananchi, wamenuna kiasi cha kupasuka: Mimi nawaambia 'mwenye wivu akajinyonge'. Treni limekata breki litagonga chochote (including Simba) kitakachokatiza mbele yake.
Last edited by a moderator: