Azam FC vs KCCA Live

Uzi umepoa sana Mikia mko wapi mfanye analysis ya madudu ya timu yenu. CC. sembo & Co. PLC.
 
Last edited by a moderator:
Dk ya 43 simba 0-0 mafunzo
 
Half time simba 0-0 mafunzo
 
Simba hawajiamini tena, hawawezi kuwepo hapa. Wanajua litimu lao ni uchochoro tu.
 
Halo mimba Michael pesaza okwi zinawachqnganya
 
kulikoni mulio karibu na runinga, tupasheni kinachoendelea huko.......
 
Kipindi cha pili kimeanza simba 0-0 mafunzo
 
Goooool! simba 1-0 mafunzo, saidi ndemla anawapatia simba goli la kuongoza
 
Dk ya 70 simba 1-0 mafunzo
 
Mpira umalizika simba 1-0 mafunzo
 
Uzi umepoa sana Mikia mko wapi mfanye analysis ya madudu ya timu yenu. CC. sembo & Co. PLC.

Mkuu tupo tumetulia tunafatilia uzi kwa umakini.. Baada ya dk 90 tunakuja.. ila umeona mambo ya ndemla?
 
Last edited by a moderator:
Kwa siku moja Goran amefanya kazi kubwa.. I see a bright future in him.. Sijui zingekuwepo injini zetu toka uganda ingekuwaje?! Mungu bariki Simba Sc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…