Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Goooooooool!! msuva 3-0 jang'ombe
Basiiiii! 3-0 zimetimia. Asante Mungu kwa kusikia dua za watumishi wako.
Goooooooool!! msuva 3-0 jang'ombe
$300,000 mnazo? Nendeni Uganda mkachukue matakataka yenu, mengine mazee ya tiGO.
Coutinho na dilunga out, javu na niyonzima in
Hiyo taifa la jang'ombe lipo bara gani?
sisi tunataka kumsaidia kijana uko mbele alisaidie taifa na simba ndo njia pekee ya kuelekea ulaya
hivi countinho hakuondoka na mjomba ake?
Simon Msuva ameiva kwa sasa ni wakati wake kuamia Simba ili apate tiketi ya kucheza nje
Coutinho na dilunga out, javu na niyonzima in
Nimekukubali mkuu kwa utabiriBasiiiii! 3-0 zimetimia. Asante Mungu kwa kusikia dua za watumishi wako.
Nimekukubali mkuu kwa utabiri
Gooooooool kpah sherman anaweka mpira wavuni, yanga 4-0 taifa jang'ombe
Asante mkuu mkolaj kwa updatesMpira umemalizika hapa uwanja wa Aman Yanga imechomoka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya taifa jang'ombe....goli zimewekwa wavuni na Simon msuva(goal 3) na kpah sherman(goal 1), ahsante sana timu ya wananchi dar young africans.