Azam FC vs KCCA Live

Coutinho na dilunga out, javu na niyonzima in
 
Hiyo taifa la jang'ombe lipo bara gani?

Hiyo timu ilicheza na Simba ya Phiri. Simba ilishinda 3-0 Phiri akajigamba kuwa sasa ni vipigo tu, kakutana na Jackson Mayanja wa Kagera Sugar kibarua kikaota nyasi.
 
Hivi ni yanga na jang'ombe au azam v kcca?ratiba niliyoiona jana baada ya mnyama kupakatwa na mitibwa sukar ni azam v kcca leo!naomba kuwekwa sawa
 
sisi tunataka kumsaidia kijana uko mbele alisaidie taifa na simba ndo njia pekee ya kuelekea ulaya

Jibu swali rahisi tu $300,000 mnazo? Za Etoile du Sahel zimeishia wapi au siku 7 hazijatimia?
 
Dk ya 76 yanga 3-0 jang'ombe
 
sisi tunataka kumsaidia kijana uko mbele alisaidie taifa na simba ndo njia pekee ya kuelekea ulaya
Msaidieni ramadhan singano mliyekuwa mnamuita messi
 
Gooooooool kpah sherman anaweka mpira wavuni, yanga 4-0 taifa jang'ombe
 
Mpira umemalizika hapa uwanja wa Aman Yanga imechomoka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya taifa jang'ombe....goli zimewekwa wavuni na Simon msuva(goal 3) na kpah sherman(goal 1), ahsante sana timu ya wananchi dar young africans.
 
Asante mkuu mkolaj kwa updates
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…