Azam FC vs KCCA Live

Azam FC vs KCCA Live

Izirailu na roho ya azam......
 
Kwa hali hii mpira uishe, vinginevyo Azam atalala. Kavumbagu anavizia mabeki na kipa wachanganyane ndipo atupie goli.
 
Kadi ya manjano kwa masiko tom, dk ya 84
 
90+2 Bado azam 2-2 kcc
 
Mpira umemalizika uwanja wa amani azam fc 2-2 kcc
 
Wameponea chupuchupu, tukutane tena kesho kwenye chama la wananchi, itakuwa saa ngapi vile?
Sio kesho mkuu Makoye Matale, ni leo saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa Amani, karibu sana tuone nini watafanya hawa vijana wa jangwani dhidi ya timu ya taifa jang'ombe....
 
Sio kesho mkuu Makoye Matale, ni leo saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa Amani, karibu sana tuone nini watafanya hawa vijana wa jangwani dhidi ya timu ya taifa jang'ombe....

Ok. Asante Mkuu kwa taarifa, tuwe pamoja.
 
Tukutane saa 2:15 usiku timu ya wananchi yanga itakapokuwa ikimemenyana na timu ya taifa jang'ombe kwenye uwanja wa Amani
 
Sio kesho mkuu Makoye Matale, ni leo saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa Amani, karibu sana tuone nini watafanya hawa vijana wa jangwani dhidi ya timu ya taifa jang'ombe....

Ni king'amuzi kipi kati ya hivi kinaonesha mechi hizi?
1. Continental
2. Zuku
3. Star Times
4. Azam
5. Digitek
6. Dst.......
7.....
 
Ni king'amuzi kipi kati ya hivi kinaonesha mechi hizi?
1. Continental
2. Zuku
3. Star Times
4. Azam
5. Digitek
6. Dst.......
7.....
Azam tv ndo wanarusha game zote kutoka uwanja wa Amani visiwani zanzibar
 
Back
Top Bottom