Azam FC vs KCCA Live

Duh angeanza naona angechukua mpira mwingine au waandaji wameombwa na waandaaji asianze ili mipira isiishe
 
Yanga yanipa raha jaman
 
Ule mpasi wa telela kwa msuva kama wa pirlo,mipass kama ile tuliimiss sana
 
Mpira umemalizika dak 90, yanga 4-0 polisi....Magoli ya yanga yakitiwa wavuni na Andrey coutinho (goal 2), kpah sherman (goal 1) na Simon msuva (goal 1)...Hongera sana timu ya WANANCHI DAR YOUNG AFRICANS.
 
Mpira umemalizika dak 90, yanga 4-0 polisi....Magoli ya yanga yakitiwa wavuni na Andrey coutinho (goal 2), kpah sherman (goal 1) na Simon msuva (goal 1)...Hongera sana timu ya WANANCHI DAR YOUNG AFRICANS.

Asante sana Mkuu kwa updates, leo ni non-stop tuendelee na mechi ya Azam.
 
Goli nne
Moja la keeper
Moja la mabeki
Moja la viungo, na
Moja la washambuliaji. Fair Play!
 
Goli nne
Moja la keeper
Moja la mabeki
Moja la viungo, na
Moja la washambuliaji. Fair Play!

Naonba goli 1 la golikipa li-apply pia kwa mabeki na lile la mabeki liende kwenye benchi la ufundi na uongozi wa klabu. Wazanzibar wanajiuliza, yakhe hii Yanga mbona balaaa?
 
Ni mpambano wa kulisaka kombe la mapinduzi kutoka visiwan zanzibar....twende wote moja kwa moja kutoka uwanja wa Aman....

Hivi wewe uliye anzisha hii thread kwa nini hutaki kubadili title? Umeshauriwa sanaaa lakini umekomaa tu.
 
Ule mpasi wa telela kwa msuva kama wa pirlo,tuliimiss mipass km ile
 
mpira umekwisha KMKM 0 Azam Fc 1, bao limepatikana baada ya mchezaji wa KMKM kujifunga, kiwango cha azam fc bado hakiridhishi wanakazi kubwa ya kuwatoa El Mareikh ya Sudan klabu bingwa ya Africa
 
Kocha wa El Mareikh aliesafiri kutoka Sudan alikuwepo uwanjani kuwaona Azam fc wakicheza dhidi ya KMKM
 
Half time simba 1-0 Jku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…