Sasa hao tisa waliku mawe au watu wanao ishabikia Azam? Kuhusu timu yangu ya awali nilikua shabiki wa yanga tena yanga asili (sio kampuni) ila kwamara ya kwanza mnamo tareh 18/5/13 nitaishangilia Simba aiangamize tena Yanga.Mkuu unapingana na ukweli? Siku Simba anakipiga na Azam nani aliwashangilia Azam? Kuna siku Yanga alikuwa Taifa na katimu ka mikoani na Azam alikuwa Chamazi na katimu ka mikoani pia, attendance ya Chamazi ilikuwa watu 9. Niseme nini zaidi? Hata wewe uliyeenda Azam ni Simba, Mnyama akirejea enzi zake utarudi tu. Baada ya 5yrs Azam haitakuwepo, believe me.
mkuu kwani mwaikimba mpira usharudi brazil mbona unaonekana kutokumuamini!leo hadi mwaikimba? Kazi kweli kweli
Mwaikimba ni bonge la mfungaji sio kama Bahanuzi (mchezaji wa kagame)mkuu kwani mwaikimba mpira usharudi brazil mbona unaonekana kutokumuamini!
mkuu leo niko ontop of somebody women,post yako imenifanya nipiiiiiiiiiiiiz fasta ili nirudi jukwani fasta
mkuu kwani mwaikimba mpira usharudi brazil mbona unaonekana kutokumuamini!
ukiona hivyo ujue hana plan ya ziada!!anatapatapa!mwaikimba kwenye ligi kwenyewe hapati namba sasa cjajua utaalamu wa kocha
Mkuu hongera kwa kazi pevu, umekumbuka kuvaa vyombo vya Madola? Usije ukawa umefanya kosa la marehemu, hakuvaa k.d.m.
Full time 0-0, the BEGINING of the END kwa Azam.
Full time 0-0, the BEGINING of the END kwa Azam.
bai bai Azam,next year mtashiriki tena kombe la shirikisho huku sisi wanaume Yanga tutakuwa klabu bingwa Africa
mkuu nimefanya kama LIBOLO FC haikuvaa k.d.m kwa Simba,mm ni LIBOLO na huyo kimazi ni Simba,cjui nani atakuwa mwathirika,Ndetichia anisaidie kujibu
Kama kawaida yenu raundi ya kwanza tu chaliii! munarudi nyumbanibai bai Azam,next year mtashiriki tena kombe la shirikisho huku sisi wanaume Yanga tutakuwa klabu bingwa Africa
Azam ameshafika mwisho wa safari yake,kule Morocco asitegemee ushindi wowote,hakika atagongwa 3-0
waarabu wanamambo ya ajabu sana wakiwa kwao