Azam FC vs FAR Rabat

ha ha ha ha!!itachukua muda kwa LIBOLO kusahaulika kwa liliyo yafanya!!!!

LIBOLO walioniogopesha sana,kwa sababu wana tabia mbaya sana ya kupiga kotekote,ndani nje.Hawa jamaa ni vigumu kuwasahau kweli kwa sababu ni miaka mingi haya mambo hayajawahi kuwatokea Simba,mara nyingi wanapiga,wanapigwa nje lakini sio ndani na nje.
 
Azam kama yanga tu, mpira unapelekwa mbele bila malengo, ili mradi ukagombaniwe na ikitokea bahati ndio goli linapatikana
Wasipokuwa makini nao wataaga haya mashindano..
 
Anamaanisha TBC1
Hapana mkuu namaanisha SIMBA,ukisema hivyo unanikumbusha LIBOLO,kwa sababu kuna jamaa yangu ni mshabiki wa SIMBA akisikia neno LIBOLO lazima ageuke nyuma na baada ya hapo hawezi kukaa tena kwenye eneo hilo!!!
 
Hilo ni la msingi sana na tayari tumelifanya na ndio maana hata sisi wa yanga tuko uwanjani tunawapa sapoti,hawa ndio wawakilishi wetu waliobaki hapa Tanzania,baada LIBOLOO! kutufanyia vitu vya ajabu hapa nyumbani na huko kwao!.
LIBOLO litakumbukwa msimbazi kama ilivyo kwa ENYIMBA!
 
Japo ni dakika ya 37, bado bila bila. Ila Azam imebanwa katikati. Waarabu si mchezo.
 

PEMBE ZA NDOVU zinaongea hapa nimeshaona kabisa,sio bure!!!
 
Mpenzi? Nani anaweza kupenda kitu kibovu? Kupenda Yanga au Simba nikujitakia presha tu. Kwanini nijipe tabu ilhali kitu kizuri kiko?
 
N i kweli hawa jamaa ni wazuri sana na wakongwe kwenye michuano hii.
Wazuri wa sura tu hao kwakua ni weupe lakini kisoka hii sio yanga (tangu nipate akili sina kumbu kumbu kua Yanga keshawahi kuifunga timu kutoka nchi ya kiarabu)
 
Wasipokuwa makini nao wataaga haya mashindano..
Wati zyani mkombe? Utwizya ku Daresalamu kuuvwa amakesi ya Aishi na Yamusebo. Awe twatonta kwikala bilu mubunge!
 
Mkuu inaonekana wewe ni Yanga kwa sababu naona unaendelea kuwachoma watu wa SIMBA,na naona unataka kueleza hivi Simba+Enyimba=?!
Hahahaah! Mkuu na sisi tutaanza kurusha aibu zenu.
 
Bado dakika 2 mapumziko lakini AS FAR wako juu kwa Ball Posession.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…