3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,018
Mna bus gani zaidi ya ile eicher iliochangamkaSimba kwa Sasa hamna nyimbo.
Yanga watawauzieni lile Lao la Sasa lakwetu likifika.
Mna bus gani zaidi ya ile eicher iliochangamkaSimba kwa Sasa hamna nyimbo.
Yanga watawauzieni lile Lao la Sasa lakwetu likifika.
Hapa ndipo panaleta sintofahamu ya malengo halisi ya kuwekeza katika timu hiyo!Miundombinu wapo vizuri.....
Mishahara wanalipa kwa wakati ( japo ni ya kawaida).
Wanachukua wachezaji wa kawaida watakao walipa kawaida.
Kwendaa! HahaaaMimi yanga ila napiga mo energy
Hutaki mi kuwa utopwinyooKwendaa! Hahaaa
Wanataka kutajwatajwa ili bidhaa ziuzike, ila yanga ndio walijinasibu kununua aina hii ya basi ila mwishowe tukaona tataKuna mtu aliwahiniambia kwamba kutokana na muingiliano na maslahi mapana ya kibiashara, wakiwa wanachukua makombe kuwazidi Simba na Yanga uhasama unaweza kuhamia kwenye biashara. Mashabiki wakasusia bidhaa za Azam, kitu kinachowaingizia pesa ndefu.
Kwakua mie sio mtaalam wa mpira na mambo ya michezo nikajiondokea kutafuta urojo na mkate wa ufuta ila nikabaki na maswali, kwanini walianzisha timu ikiwa hawataki vikombe?
Simba hana irizar mkuu, simba yeye ni michina na tataNililiona la Simba huko Tunduma liko kama hilo ila ni kubwa kidogo.
Acha akili mgandoo... Vijana wetu wakachezee wapiiiIfike mahala azam asajili wachezaji kutoka nje,,,aachane na wabongo.
Acha akili mgandoo... Vijana wetu wakachezee wapiii
Kwani wamelalamika wachezaji wao wanacost club yao au ni wewe ndo umeliona ilo?Kwaiyo waendelee kuicost club!!!
Kwani wamelalamika wachezaji wao wanacost club yao au ni wewe ndo umeliona ilo?
Tajiri ajaliona hiloo..., Anajua namna ananufaika ndo maana anazidii wahudumia..Ni mimi naliona ilo. Wanampa hasara tajiri.
Sababu ni Siasa za Simba na Yanga. Ukiondoa siasa kwenye mpira. Simba na Yanga zingekuwa zinashika nafasi ya 2 na 3.
Mimi yanga ila napiga mo energy
Usijidanganye.....Sababu ni Siasa za Simba na Yanga. Ukiondoa siasa kwenye mpira. Simba na Yanga zingekuwa zinashika nafasi ya 2 na 3.
Big NOKuna mtu aliwahiniambia kwamba kutokana na muingiliano na maslahi mapana ya kibiashara, wakiwa wanachukua makombe kuwazidi Simba na Yanga uhasama unaweza kuhamia kwenye biashara. Mashabiki wakasusia bidhaa za Azam, kitu kinachowaingizia pesa ndefu.
Kwakua mie sio mtaalam wa mpira na mambo ya michezo nikajiondokea kutafuta urojo na mkate wa ufuta ila nikabaki na maswali, kwanini walianzisha timu ikiwa hawataki vikombe?
Big NO