Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

Hii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
Chai
 
sasa kwani wewe ni panya au ng'ombe ?
 
Ndio maana tunauziwa 800 badala ya 600
 
Hii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
Je ni Azam tu au ni energy zote?
 
Back
Top Bottom