Azam Dish signal hazipatikani

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,355
5,256
Habari wadau.


Ni takriban week moja hivi Signal za receiver ya Azam kwa mimi ninayetumia Dishi signal zimekuwa za kubahatisha sana, mara zilete scratch mara zizime zisisome kabisa! Yani ni taabu tupu.


Vipi wenzangu nyie mnaotumia dish hii hali haijawakuta?
 
Back
Top Bottom