Azaliwa na Sura Mbili

Azaliwa na Sura Mbili

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
4.jpg
Madaktari wa Hospitali ya Holy Family (HFH) mjini hapa wanapigania maisha ya mtoto aliyezaliwa Septemba 25, mwaka huu akiwa na sura mbili na uzito wa kilo 3.2.
 
Mjini hapa??wapi??acha kucopy na kupaste mkuu!!
 
4.jpg
Madaktari wa Hospitali ya Holy Family (HFH) mjini hapa wanapigania maisha ya mtoto aliyezaliwa Septemba 25, mwaka huu akiwa na sura mbili na uzito wa kilo 3.2.

ila nina mashaka..hii imetokea hapa bongo? Mbona mtoto yupo kama mchina? Usikute umekopi na kupesti kupata attention yetu.
 
kama siyo duka picha hakika nimesikitika. Mungu anajua.
 
Wachina noma, wameanza kuzaa binadamu feki, hawa sasa wamezidi!
 
Mke wako mjamzito ukimpeleka kwenda kujifungulia hospitali ya wachina angalia sana anaweza akapewa mtoto feki. Kuna watu yamewakuta pale Sinza.
 
hata hiyo picha na mashaka nayo kama ni mchina maana hawa jamaa ni noma
 
jamani tukubuli tu kuwa mungu ni mkubwa na anaweza fanya atakalo.
mungu atamsaidia. amiin
 
Back
Top Bottom