Aya wataakamu wa magari njooni museme kitu hapa

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,561
0dbdc0500713ae5501bbc3f63cd88727.jpg

Iyo alama c ni ya kazi gani

Source:fb

Note:sio kwamba sijui ila nawachallenge
 
Hiyo hutumika kwenye milima mikali ina nguvu sana sawa na kuweka rivers
 
COROLA hiyo ndio gia ya mwisho kuitimia baada ya namba moja pindi gari inapopanda mlima.Huwa ina nguvu zaidi ya namba moja,ukiwa umeitumia na ngoma inagoma kupanda,hapo lazima uwe na bonge la gogo kuweka tena kwa haraka ili isichanganye kurudi nyuma.
 
Brother ww inaonesha umejifunzia safarini aya mambo maana madereva waliojifunzia safarini karibu wote wanaiita COROLA habari za CRAWLER hawana mda nazo na wengine wanajua tu hii ni C what does it mean hawaitaji kujua..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom