AY na CPWAA

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
hivi ni kwel kwamba AY anammanage cpwaa na shaa...???? Yan ndo anawataftia michongo ya nje??? Iz it tru??? Kama ndo hvo?? Mbona AY mwenyewe mchovu tu!!!!!!??
 
Acha dharau kijana..................angekuwa muhindi au mzungu ndio ungeona sawa, mpelekee dada yako ndio utajua kama ni mchovu.
 
hapo kwenye nyekundu unamaanisha nini????
 
hii game ni ngumu kuliko tunavyodhania na ndo maana mtu kama AY anatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha anabaki kwenye peak japo kwa bongo hana soko na show za nje hapati kivile japo anakubalika hapa jirani Kenya....AY,SHAAA na CPWAA wote ujanja wao umebaki katika video za gharama lakini game siyo kivile!tuangalie 2012 nanai atakimbiza ila last year ulikuwa ni wa DIAMOND na ALLY KIBA
 
Na unga mkono awanajipya vijana
 
Acha dharau kijana..................angekuwa muhindi au mzungu ndio ungeona sawa, mpelekee dada yako ndio utajua kama ni mchovu.

We masaburi nini???? ukali wa game unapimwa kwa mapenzi???? Au kwa sababu we alimla dada yako na akakupa taarifa kwamba ameenjoy, ndo unasema co mchovu.. Kny game la sasa AY ana michongo mingi ya nje na mafanikio katika kujimarket lakin kiukwel habambi kivile... nitajie nyimbo yake ilotishia aman mwaka ulopita... Yan kwa kifup hajatoa hit iliyokamata kama mawazo ya almasi... Umeniskia we kenge????
 
almasi kauza sura kama mleta mada kwenye magazeti sababu ya uzinzi lakini sio muziki bora ay anakomaa na kuimba hakuna malovee hala la ay na sugu kwa kufanya kina nature kupigwa nyimbo zao maredioni..
 
AY hana kitu,AY namkubali wa YULE,LEO lakini huyu AY wa Speak with ur body hana kitu bora asimamie miradi yake ya daradara na Unit Entertainment,Duka la ngua basi lkn mziki naona kama amekwisha hivi,anajaribu sana kushirikisha wasanii wa nje lkn wapi ngoja tuone wimbo wake aliomshirikisha STElla(ESTL)
 
Acha wivu wewe muanzisha mada! AY yupo juu hata kama hupendi kusikia, na na habari ndio hiyo!
 
almasi kauza sura kama mleta mada kwenye magazeti sababu ya uzinzi lakini sio muziki bora ay anakomaa na kuimba hakuna malovee hala la ay na sugu kwa kufanya kina nature kupigwa nyimbo zao maredioni..
Una uhakika?
 
AY hana kitu,AY namkubali wa YULE,LEO lakini huyu AY wa Speak with ur body hana kitu bora asimamie miradi yake ya daradara na Unit Entertainment,Duka la ngua basi lkn mziki naona kama amekwisha hivi,anajaribu sana kushirikisha wasanii wa nje lkn wapi ngoja tuone wimbo wake aliomshirikisha STElla(ESTL)
AY kwa sasa ni msanii mmoja wa kawaida sana kuanzia kuandika nyimbo hadi kuimba, ila ni mjanja sana kwenye issue ya ku-market kazi zake (Promo) ndo maana anakuwa juu muda mrefu..
Af nimesikia ndo anasimamia kipindi cha MKASI cha Salama J
 
hoja yako inaonesha we ni msomi live.. Upo sawa mkuu!!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom