Award Verification Number (AVN) updates

Fatilieni matokeo maana nacte nao huwa wazembe..kuna watu nilimaliza nao mwaka jan hawakupata avn wakapata mwaka huu..lakn ukifuatlia mapema wanakusaidia mapema..maana muda wa kuapply second round ni mchache
Kwahyo matokeo yakiwa submitted tu siwezi kupata AVN nkiomba..?
 
Umepewa muda wa masaa mangapi kusubiri verification ya hiyo process uliyoifanya kwa huyo Dogo..?
Papo hapo hata dkika 5 hazikupita.

Ukiona umepewa kusubiri masaa 12000 ujue Kuna sehemu 'unachemsha' katika ujazaji au matokeo yako hayajawa confirmed!
 
Kumbe inabidi uanze na N not S pekee..!!
 
AVN ni kasheshe we acha tu hawa jamaa hawapo serious mi nlilipa mara 3 ndo nikapata. Tena vyuo vya nje ndo wanasumbua balaa
 
Ushajisajiri tayari NACTE kuomba hii AVN na kama ulifanikiwa kupata AVN.?
Mm nilifanikiwa... ukisha upload unasubiri ndani ya cku tano then wanakutumia msg km matokeo yko yapo tayar pamoja na control namba unalipia elfu 10 then ukiingia kwenye account unakuta kila kitu tayar
 
Ata mimi natatizo kama lako haise nacte na vyuo vinazingua
 
Mm nilifanikiwa... ukisha upload unasubiri ndani ya cku tano then wanakutumia msg km matokeo yko yapo tayar pamoja na control namba unalipia elfu 10 then ukiingia kwenye account unakuta kila kitu tayar
Ata kama chuo akija tuma matokeo je unapata uki apload??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…