Awamu za urais/utawala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Awamu za urais/utawala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muadilifu, Feb 19, 2009.

 1. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #1
  Feb 19, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wandungu,
  Naomba mnisaidie kujua ni vigezo gani vinatumika kujua hii ni serikali ya awamu ya ngapi, au huyu ni Rais wa awamu ya ngapi. Je ni kubadilika kwa Rais, au ni kuingia kwa ngwe nyingine ya uchaguzi (hapa nikimaanisha kipindi kingine cha miaka mitano ya uongozi wa Rais) Kama hoja ni kubadilika kwa Rais, hatuoni kwamba kwa kauli hii tunahalalisha Rais kukaa madarakani miaka yote kumi hata kama hafai? Na je endapo itatokea Rais akaongoza kwa miaka mitano tu, na akachukua urais mtu mwingine, hiyo nayo tutaiita ni awamu? Ni hayo tu.
   
Loading...