Awamu ya Sita inaendeleza tabia ya kuitenga mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini

Inatafakarisha sana, sijui chanzo cha yote haya ni nini?
 
kanda ya ziwa kuna kitu gani cha maana ambacho kimefanywa na awamu ya 6? unapozungumzia kanda ya ziwa hasa unaizungumzia mwanza, sasa kwa taarifa yako mwanza sio mji wa kiserikali zaidi zaidi mwanza wanavimba wenyewe na sio kuitegemea serikali ya awamu ya 6
 

Ukiacha maji, shule na afya mnatakiwa msiwasubiri serikali kwa maendeleo yenu. Kaskazini wameshindwa kuwatenga kwasababu wana mchango kwa taifa na hawasubiri serikali. Arusha ni maji, elimu na afya vingine vyote ni wenyewe. Sasa mko subiri serikali iwaletee kazi na kuwajengea ni ngumu.Tatizo kubwa ni aina ya watu wa huku wanapenda uongozi kuliko maendeleo. Jiulizeni viongozi wote hao wamewasaidia nini. Jipangeni fanyeni biashara na muache tabia za ulalamishi
 
Hatuna chetu kwa CCM, tufanye kitu 2025
we the sunk cost fallacy: acha kabisa hizo mambo kaka.....yaan wewe ni bonge la chawa , umeupiga mwingi sana kwenye battle la Mwanza vs Dodoma na ulikubali kabisa kuwa dodoma ni mji wa kiserikali na ukatuonesha miradi inayoendelea mkoan kwenu sasa leo hii nashindwa kukusoma unaposema hamna chenu kwenye CCM na mfanye kitu 2025...shame on you!
 
serikali za majimbo mtaiweza nyie au mnasema tu? kwa fursa gani za kiuchumi mlizonazo? mikoa iyo inapendwa kwa sababu ni mikoa yenye fursa nyingi za kiuchumi na mtaji mkubwa wa kisiasa kwakuwa ni mikoa yenye wapiga kula wengi..!! sasa kama ruvuma kuna fursa gan ambazo unaweza ukafananisha na hiyo mikoa anayopenda kutembelea MH?
 
mbeya jiji kaka we ongelea habari zingine
 
tena jamaa aliupiga mwingi sana kwenye battle la Mwanza & Dodoma ..... sasa leo hii nashangaa analialia ...... kila mtu kaka atashinda mechi yake
 
we the sunky mbona hueleweki?
 
Hakuna anayesubiria Serikali japo ni lazima serikali I play role kubwa kutufunhilia fursa hasa kwenye miundombinu.

Sio kwamba hawafanyi bali haitoshi👇







 
Kuna kaukweli fulani juu ya uliyosema
Sio kaukweli ni UKWELI mtupu baada ya uhuru kwa mfano wilaya ya Rungwe na jimbo la Busokelo walichangia pato kubwa fedha za kigeni kutoka a na zao la kahawa.Na sasa chai na maprachichi lakini barbara ya lami ni ile ya malawi.Rais RIP aliahidi kujenga barbara ya lami kutoka Busokelo hadi Tky lakini wapi.Viwilaya vingine vikianzishwa miundombinu mhimu huwekwa ndani ya muda mfupi
 
Sss
 
Ndugu jaribu kuandika ,ukweli.Njombe Ni sehemu ambayo JPM aliitengeneza vizuri Sana.NimekaaNjombe miaka mitano.Kuna soko kubwa zuri Sana.Walijengewa barabara ya lami kutoka Njombe mpaka Makete.Ludewa ,walijengewa barabara ya lami na zege.Jaribuni kutembea kabla hamjaandika.Wabena na wakinga wanamkumbuka Sana JPM.Labda Samia ndio hajafika huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…