Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 623
Tangazo laolinaonesha wametoa lot ya 5 lakini ukisearch index no inasoma "not secured in lot 1-4.
Naona huyu loan allocation manager ndugu Mlay anataka kutumbuliwa jipu.
Kumbuka kuwa walitaka tuwasilishe vyeti physically tumefanya hivyo lakini bado wanaleta mauzauza.
Mtumbua jipu hebu pitia hapa bodi...kuna majipu mengi sana...kila mtu ni bosi...