Naombeni mnijuze, ni lini HESLB watatangaza majina ya waliopata mkopo?

ombeni34

Member
Aug 17, 2020
44
15
Wakuu naombeni mnijuze kwamba ni lini HESLB watatangaza majina ya waliopata mkopo kwasababu sisi watoto wa wakulima hapo ndipo jicho letu lilipo no mkopo no chuo naombeni mnijuze kwasababu chuo nishakipata!
 
Subiri mambo ya selection na confirmation yakamilike
 
Back
Top Bottom