Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Ndugu zangu,amani kwenu.
Kuajiriwa serikalini ni taabu mno.Bora kujiajiri au kwenda private.
Hela hamna,madaraja hayapandi, uhamisho umezuiliwa, mishahara iko fixed, stress na vitisho kila siku. Hofu hofu kwenye kazi. Kauli kali kila kukicha.
Hakuna amani.Kwanza mishahara kiduchu, makodi kibao. Makato tu ni 49%( jumlisha bodi ya mikopo).
Raha ya kuwa serikakini ni ipi?Au watu wanasubiri pensheni.....