Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
1. Mwenye nguvu, mvuto na mpiganaji ambaye yuko tayari kuutetea msimamo wake kwa nguvu ya hoja - Uraisi aliupigania mwenyewe.
2. Yupo yupo na mpole asiyejua jukumu la kiongozi wa nchi wala heshima inayoendana nayo, kila kitu rukhsa - Uraisi aliukwaa kama ngekewa.
3. Asiye na mvuto lakini hutumia nguvu kutetea hoja na kusimamia malengo hata kama hayana manufaa kwa taifa - Uraisi alipakatwa.
4. Asiyejua kwa nini aliutaka Uraisi ni kama mtoto anayelilia wembe na akapewa ! Uraisi wake ni feki - anachezeshwa kama "puppet"[JK]
mkuu ulisemalo ni kweli kabisaa tena bila unafiki wowote. Nimeipenda hiyo!