Avril: Kenyan Musician and Model

Mwambie aelewe ,sipigi foleni kwa huyu naenda zangu uswazi kuchukua sungura tope wa maana tu kiulaini nagegeduka, siwezi kutamani shelf la make up mie!
 
Hamna kitu wa kawaida tu
Haingii kwa masogange hyo

Tatizo letu sis waafrica/Wabongo tumekariri nadhan mwanamke mweupe Ndo mzur.Iv Masogange Ana Uzur gan kwa Mfano?Weupe kajipaka kipako cha kichina,,Shepu Mchina,Uo mzigo wake wenyewe Mchina uko tepe tepe uko Nyuma afu kafuuuupi.Mara Mia ya Juliana Kanyomoz mtoto Black Beauty,Mrefu,she is so Natural na heshima nayo anayo pamoja na Ustar wake. et Masogange lol...!!!!!!
 
Eve huyu ni avril mwenyewee
Na walikua wanasagana na yule walieimba nae "tumekuja chokoza

Hapana sio avril huyu ni mwingine mi nilimwonaga kuna wimbo mmoja waliimba pamoja na Prezzoo sijui unaitwaje nimeusahau
 
Hapana sio avril huyu ni mwingine mi nilimwonaga kuna wimbo mmoja waliimba pamoja na Prezzoo sijui unaitwaje nimeusahau

Itakuwa unamzungumzia Kazi ambaye kaimba na prezoo uwe wangu Kazi aliwahi kuwa mshiriki wa Tusker project Fame ile ya kwanza na akina Nakaaya Sumari
 
Nakumbuka stunna uliwahi weka uzi wa celebs wa mbele bila makeup basi ulitakiwa umlete umu akiwa natural hii picha dressing table ya mkongo imefanya mambo yake ukiongeza photo shop ndo katokea hivi ila ni kawaida kwa macho yng ya nyama.
 
Last edited by a moderator:
Zari red ,wema sepetu blue
 

Attachments

  • 1456232462460.jpg
    114 KB · Views: 91
Bongo kuna wamama ntilie wakali tu kushinda Hawa wakuitwa seleburiti
 
umetumia kigezo gani kujua anatamaniwa na wanaume? wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…