Avoid retreaded tires

NKYALU

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
18
Reaction score
7


Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.
 
wacha unafik wapi uliona gari ndogo ikafungwa matairi ya litread fool
 
picha haijaonekana kwa ukubwa lkn hakika retread hazifanywi kwa tyre za gari ndogo. kama ilibanduka inawezekana ni tyre gari imekuja nazo toka Japan/nje maana zile huwa c nzuri kwa hali ya hewa ya kwetu. nyingi ni zile za waya
 
naona tatizo hapo si retred lakini tairi kipara. Matairi yote yamekwisha kabisa. Kwa mvua za Tky huyo mwenye gari hawezi fika Mwakaleli
 
Usisahau uzembe wa dereva nao umechangia sehemu kubwa, Umakini ulikosekana hapo. Jamaa yaelekea kula mweleka lazima alilamba kidogo ze UTAMU' alijiburidisha kidogo chonde ulevi NOMAAAAA
 
Chunguza vizuri hizi ni ajali mbili tofauti sehemu tofauti moja ipo kwenye barabara ya lami, nyingine barabara ya changarawe. hapo ni uzembe mkubwa madereva. magari yote tairi zinaonyesha zimeisha. magari yalikuwa kwenye mwendo mkali. waongozaji yakawashinda kuyamudu.
 
View attachment 37837View attachment 37838

Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.
Sikubaliani na wewe hata kidogo!
Matairi ya retread si sababu ya ajali hii!...mbona hata matairi mapya yana'burst tu?
Kama iliyofumuka ni tairi ya nyuma, unadhani gari inaweza kuserereka kiasi hiki?...
Mimi shida ninayoona ni UZEMBE!...aidha mwendo mkali, au abnormal breaking, kupishana kwa mbwembwe kwenye maeneo yasiyofaa, na vitu vya namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…