AVG Antivirus Pro / AVG Internet Security 2014 free for 374 days

AVG Antivirus Pro / AVG Internet Security 2014 free for 374 days

simu yangu iliniandikia hvo hadi nlipogundua ni kwa pc tu!
Yupo sahihi Frank G ,Links za offer ya AVG kupitia promo ya huawei wameziondoa,siyo kwamba ukijaribu kudownload kwa simu tu ndio "file not found", hata kwa pc link hazipo, Hivyo nimeweka direct link mpya toka AVG official site.
23yq.jpg
 
Shukran mkuu Mwl.RCT ubariKiwe nilifanikisha bt hyo ya internet security c inaprotect na pc kama kawaida?
 
Last edited by a moderator:
Shukran mkuu Mwl.RCT ubariKiwe nilifanikisha bt hyo ya internet security c inaprotect na pc kama kawaida?
Ndio ni kweli, Angalia baadhi ya features zinazotofautisha AVG Antivirus Vs AVG Internet Security
8fzr.jpg
 
dude acheni kutumia avg ni nzuri lakini huwa inafanya system sloo sana.better tumia mcstm
 
Kama setup unayo tayari na unachohitaji ni keys pekee, Basi hizi hapa.

AVG Internet Security 2014 32bit

---------------------------------------
| IBY9X-ESYXT-W4BZQ-QI4WX-A9LI7-INRS3 |
---------------------------------------


AVG Internet Security 2014 64bit


---------------------------------------
| IBY9X-ESYXT-W4BZQ-QI4WX-A9LI7-INRS3 |
---------------------------------------


AVG Antivirus Pro 2014 32bit


---------------------------------------
| ABLAD-A2XEL-DUIGR-AIMDV-TAKLW-3WIDO |
---------------------------------------


AVG Antivirus Pro 2014 64bit


---------------------------------------
| ABLAD-A2XEL-DUIGR-AIMDV-TAKLW-3WIDO |
---------------------------------------
Karibu

Twashukuru mdau.
 
DAH cjui tatizo nn kila nikidownload inaishia 99% inafel wataalamu wa IT nisaidien natumia idm
 
dudes hii AVG ni nzuri sana but inafanya system yako slow.
 
Hapa nadhani kitu kimebuma tayari, nimetumia kwa miezi mitatu leo imenirudisha kwenye trial ya siku 30
 
To gain AVG Internet Security 2014 or AVG Antivirus Pro 2014 for 1 year you just need to install this special promotion installers
  • AVG Internet Security 2014 32bit
    Code:
    [URL]http://aa-download.avg.com/filedir/inst/avg_isct_x86_all_2014_4116a6613_huawei.exe[/URL]
  • AVG Internet Security 2014 64bit
    Code:
    [URL]http://af-download.avg.com/filedir/inst/avg_isct_x64_all_2014_4116a6613_huawei.exe[/URL]
  • AVG Antivirus Pro 2014 32bit
    Code:
    [URL]http://aa-download.avg.com/filedir/inst/avg_avct_x86_all_2014_4116a6613_huawei.exe[/URL]
  • AVG Antivirus Pro 2014 64bit
    Code:
    [URL]http://aa-download.avg.com/filedir/inst/avg_avct_x64_all_2014_4116a6613_huawei.exe[/URL]
Activation occurs from the moment the product is installed in a system, the period of the trial license is 374 days.
ENJOY


Inakubali, changamoto iliyopo inaonyesha kuwa ni TRIAL VERSION, kuna namna yoyote ya kuifanya ikaoneka kuwa ni full version

pamoja sana
 
  • ​AVG tuneup unatumia toleo lipi, Je ni ya 2012, 2013 au 2014 maana zote zipo
  • Halafu kumbuka AVG tuneup walicopy kazi ya Auslogic Bootspeed.

Me naomba uniwekee zote tuuu za hiyoo miaka
 
Back
Top Bottom