Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
..nasikia kuna simba UKAWA pia...wameahidi kuhujumu timu mechi na Stand jumamosi
..nasikia kuna simba UKAWA pia...wameahidi kuhujumu timu mechi na Stand jumamosi
si ajabu hata hii mechi takatoa drooWasianze kutafuta visingizio! Stand United wamejipanga vizuri kumuadabisha Paka Pori wa Msimbazi, Nswa gogema iwe; ngosha kugema, ngosha kucha alile shangu na kunung'ha! Stand United nduhu kushoka numa giti ng'ana yatilukaga.
Hata hivyo itakuwa afadhali kwenu, kwa jinsi stand united tulivyojipanga si ajabu leo mkapigwa si chini ya goli mbili kwa sifuri.si ajabu hata hii mechi tukatoa droo
Nendeni mkashiriki ligi kuu ya zanzibar mtawapata wa kuwafunga manake kule ndo waliko helua helua wenzenu...yaani hata kwa stendi united jamani? sasa tutamfunga nani?