Aveva, uliahidi mechi tatu pointi tatu

Aveva, uliahidi mechi tatu pointi tatu

Samweli Sitta ndio anagundu.Utamwekaje zee kama lile liwe mdhamini wa Simba?
 
Wambura na waliotimuliwa Simba ndo wanaimaliza Simba.
 
Hakuna nuksi na balaa kubwa ktk michezo kama kufukuza mashabiki wanachama wa damu wenye kujitolea kwa hali na mali kwenye club na ukabaki salama.mh Aveva,rais wa club ya simba warejeshe mapema sana wadhamini na wanachama wote wa club uliowafukuza,inawezekana ulipewa ushauri tuu na wapambe wako nfani ya vikao halali vya club lakini hukujua kuna nini nyuma ya pazia.
 
Hakuna nuksi na balaa kubwa ktk michezo kama kufukuza mashabiki wanachama wa damu wenye kujitolea kwa hali na mali kwenye club na ukabaki salama.mh Aveva,rais wa club ya simba warejeshe mapema sana wadhamini na wanachama wote wa club uliowafukuza,inawezekana ulipewa ushauri tuu na wapambe wako ndani ya vikao halali vya club lakini hukujua kuna nini nyuma ya pazia.
 
walienda mahakamani, baa lingekuwa kubwa klabu kufutwa na fifa
Hakuna nuksi na balaa kubwa ktk michezo kama kufukuza mashabiki wanachama wa damu wenye kujitolea kwa hali na mali kwenye club na ukabaki salama.mh Aveva,rais wa club ya simba warejeshe mapema sana wadhamini na wanachama wote wa club uliowafukuza,inawezekana ulipewa ushauri tuu na wapambe wako ndani ya vikao halali vya club lakini hukujua kuna nini nyuma ya pazia.
 
Hao uliowataja wanahusika vip na matokeo ya ndani ya uwanja??
NDANI YA UWANJA IKO HIVI

SIMBA ILISAJILI WACEHZAJI WENGI IKIAMINI WANGEKUWA TEGEMEO SANA

  1. Cassilas awe mbadala wa Ivo lakn bado anatetemekaa sana LANGONI
  2. Banda aliyesajiliwa kwa makeke bado hajawa msaada Simba na sasa anatupwa jukwaani
  3. Mgeveke ukubwa wa mwili tu hana msaada Simba na anatoa maboko
  4. Kwizera (hakabi) ni heri ya Mkude na kiujumla mpira wao unafanana sana kwa kutoa pasi za mguso zaidi badala ya kupiga miezi (high balls) kama alivyokuwa Mafisango akimchezesha Okwi (shame kwa professional kukaa benchi)
  5. Maguli ni maguvu zaidi si akili sehemu za kutoa pasi anapiga mashuti sehemu za mashuti anatoa pasi
  6. Kiongera kama alivyokua Echesa ni pancha mwanzo mwisho japo ametupia mbili kirafiki
  7. Kisiga asiyetegemewa ndilo limekua jiwe kuu la pembeni

Simba ina tatizo kubwa kwenye beki na kiungo

  1. viungo wa chini wote wanacheza mpira unaofanana na kisiga hachezi kwa spidi ya akina Okwi na Tambwe na si mtu wa kumaliza tisini
  2. Kiungo wa pmbeni singano kwisnney hasaidii timu anacheza na jukwa kama alivyo Uhuru na Chanonngo

  1. Owino naye ni tatizo kwani pancha inamfanya awe mwoga kuchapa mafowadi wasumbufu na kufika kwa nguvu miguuni
  2. Isihaka anacheza beki kama midifield hana hasira/upako wa kuchapa na hana nguvu (stamina)

wacheni imani za uchawi hazisaidii karne hii
 
"Hatuwezi kuamini kuwa ‘Simba Ukawa' ndiyo wanafanya hivi, kwani ukawa hawaongei na wachezaji wala si wanaocheza. Matokeo haya ni sehemu ya mchezo, lakini pia niwasisitize mashabiki na wanachama wa Simba kutulia wakati huu wasikate tamaa kwani ligi bado," alisema Aveva.

mwananchi 6/10/2014
 
NDANI YA UWANJA IKO HIVI

SIMBA ILISAJILI WACEHZAJI WENGI IKIAMINI WANGEKUWA TEGEMEO SANA

  1. Cassilas awe mbadala wa Ivo lakn bado anatetemekaa sana LANGONI
  2. Banda aliyesajiliwa kwa makeke bado hajawa msaada Simba na sasa anatupwa jukwaani
  3. Mgeveke ukubwa wa mwili tu hana msaada Simba na anatoa maboko
  4. Kwizera (hakabi) ni heri ya Mkude na kiujumla mpira wao unafanana sana kwa kutoa pasi za mguso zaidi badala ya kupiga miezi kama alivyokuwa Mafisango akimchezesha Okwi (shame kwa professional kukaa benchi)
  5. Maguli ni maguvu zaidi si akili sehemu za kutoa pasi anapiga mashuti sehemu za mashuti anatoa pasi
  6. Kiongera kama alivyokua Echesa ni pancha mwanzo mwisho japo ametupia mbili kirafiki
  7. Kisiga asiyetegemewa ndilo limekua jiwe kuu la pembeni

Simba ina tatizo kubwa kwenye beki na kiungo

  1. si kwamba miraji adamu ni mbovu ila maumivu yamemfanya acheze kwa woga sana (hafiki kwenye matukio magumu), halafu ana tatizo la kukabi kwa ndani hivyo akikuatana na winga anayeweza kucheza na chaki ni tatzo kubwa
  2. Owino naye ni tatizo kwani pancha inamfanya awe mwoga kuchapa mafowadi wasumbufu
  3. Isihaka anacheza bekoi kama midifield hana upako wa kuchaoa na hana nguvu (stamina)
  4. viungo wa chini wote wanacheza mpira unaofanana na kisiga hachezi kwa spidi ya akina Okwi na Tambwe na si mtu wa kumaliza tisini
  5. Kiungo wa pmbeni singano kwisnney hasaidii timu anacheza na jukwa kama alivyo Uhuru na Chanonngo
Mabadiliko makubwa yakifanyika simba itatisha sana

wacheni imani za uchawi hazisaidii karne hii
Ahsante kwa uchambuzi. Ila kuna kipindi kasoro zote hizo hazikuwa zikionekana na magoli yalikuwa yakimiminika kama mvua bila ya Simba kutiwa goli. KMKM alichukua 4-0. Gor Mahia akabugia 3-0. Maana yake ni free-scoring attackers na air-tight defence. Kimezidi nini kushindwa kuzifunga timu kama Polisi na Stand United (wachilia mbali Coastal Union kwa sababu ya upinzani wa jadi) ambazo kwa vyovyote vile ni dhaifu kuliko KMKM na Gor?
 
niliweka mapungufu mechi zote tulizoshinda

Dar es Salaam. Rais wa Simba, Evance Aveva amesema kusuasua kwa klabu hiyo katika Ligi Kuu hakuhusiani na wanachama waliowasimamishwa na kusisitiza kuwa matokeo wanayopata sasa ni kama upepo unaovuma na muda ukifika utatulia.

Hivi karibuni, kumekuwapo na habari kuwa kusuasua kwa timu ya Simba kuna mkono wa mtu baada ya klabu hiyo kwensa sare katika mechi tatu za mwanzo za Ligi Kuu.

Akizungumza na gazeti hili jana, Aveva alisema kuanza kwa timu yao ni kama upepo ambao unavuma na kutulia na kusisitiza kuwa waliosimamishwa hawana uwezo wa kusababisha matokeo hayo.

"Hatuwezi kuamini kuwa ‘Simba Ukawa' ndiyo wanafanya hivi, kwani ukawa hawaongei na wachezaji wala si wanaocheza. Matokeo haya ni sehemu ya mchezo, lakini pia niwasisitize mashabiki na wanachama wa Simba kutulia wakati huu wasikate tamaa kwani ligi bado," alisema Aveva.

Alisema wanachama wanaojiita Simba Ukawa waliondoshwa Simba kwa mujibu wa katiba ya klabu hiyo na kusisitiza kuwa, uamuzi wa wanachama hautabadilika kwani klabu haiwezi kuwasamehe na kuwarejesha.

"Simba Ukawa waliondoshwa kwa mujibu wa katiba ya klabu na uamuzi ulifanywa na wanachama na siyo kwa mtu kukurupuka hivyo uamuzi ule unaheshimiwa, wala hatuumizi vichwa kuwafikiria wao kuwa ndiyo chanzo cha sisi kuanza ligi kwa kusuasua," alisema.

Kwa mujibu wa Aveva, uongozi wa klabu hiyo utakutana na wachezaji na makocha kuzungumza nao ili kubaini tatizo kabla ya mechi yao ijayo.
 
Mwanza Kocha msaidizi wa Stand United, Athumani Bilali ametoboa siri kuwa mfumo wa 4-3-2-1 walioutumia ndio uliofanya Simba washindwe kuondoka na pointi tatu kwenye mechi yao ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Timu hizo mbili zilitoka sare ya 1-1 kwenye mchezo huo na bao la Simba likipachikwa na Shabani Kisiga wakati bao la Stand United likiwekwa kimiani na mshambuliaji wake, Kheri Mohamed.

Akizungumza na gazeti hili, Bilali alisema kuwa Simba hawakuwashinda kwa kuwa mfumo waliotumia Stand United wa 4-3-2-1, ambao unatumia mabeki wanne, viungo watano, uliwanyima nafasi.

Alisema katika mchezo huo walicheza kwa kupaki basi zaidi na wakitumia mashambulizi ya kushtukiza jambo lililofanya waweze kupata bao la kusawazisha.

"Huu mfumo tunautumia kwenye mechi ngumu, tunakuwa na wachezaji saba wanaokaba sana na tunashambulia kwa kushtukiza, hivyo ndivyo tulivyofanya katika mechi dhidi ya Simba na wakati mwingine tulitumia mfumo wa total football na ndiyo maana uliona hata hao akina Emmanuel Okwi walishindwa kufurukuta uwanjani," alisema Bilali.

Kocha huyo, ambaye ana rekodi ya kutofungwa na Simba kwa timu alizokuwa akifundisha kwenye Ligi Kuu katika miaka yake yote ya kufundisha klabu, alisema mfumo huo wa kukaba zaidi ndiyo uliowamiza wekundu hao.

"Nilijua Simba hawanifungi, sijawahi kupoteza mechi na hao jamaa nikiwa kama kocha, nilikuwa na Toto African kwenye Ligi Kuu niliwafunga mechi zote," alisema kocha Bilali.
 
Dar es Salaam. Rais wa Simba, Evance Aveva amesema kusuasua kwa klabu hiyo katika Ligi Kuu hakuhusiani na wanachama waliowasimamishwa na kusisitiza kuwa matokeo wanayopata sasa ni kama upepo unaovuma na muda ukifika utatulia.

Hivi karibuni, kumekuwapo na habari kuwa kusuasua kwa timu ya Simba kuna mkono wa mtu baada ya klabu hiyo kwensa sare katika mechi tatu za mwanzo za Ligi Kuu.

Akizungumza na gazeti hili jana, Aveva alisema kuanza kwa timu yao ni kama upepo ambao unavuma na kutulia na kusisitiza kuwa waliosimamishwa hawana uwezo wa kusababisha matokeo hayo.

"Hatuwezi kuamini kuwa ‘Simba Ukawa' ndiyo wanafanya hivi, kwani ukawa hawaongei na wachezaji wala si wanaocheza. Matokeo haya ni sehemu ya mchezo, lakini pia niwasisitize mashabiki na wanachama wa Simba kutulia wakati huu wasikate tamaa kwani ligi bado," alisema Aveva.

Alisema wanachama wanaojiita Simba Ukawa waliondoshwa Simba kwa mujibu wa katiba ya klabu hiyo na kusisitiza kuwa, uamuzi wa wanachama hautabadilika kwani klabu haiwezi kuwasamehe na kuwarejesha.

"Simba Ukawa waliondoshwa kwa mujibu wa katiba ya klabu na uamuzi ulifanywa na wanachama na siyo kwa mtu kukurupuka hivyo uamuzi ule unaheshimiwa, wala hatuumizi vichwa kuwafikiria wao kuwa ndiyo chanzo cha sisi kuanza ligi kwa kusuasua," alisema.

Kwa mujibu wa Aveva, uongozi wa klabu hiyo utakutana na wachezaji na makocha kuzungumza nao ili kubaini tatizo kabla ya mechi yao ijayo.

Mwanzo wa kupata suluhu katika jambo lolote ni kutambua chanzo cha tatizo, kama Aveva hajatambua chanzo cha tatizo huenda akapata wakati mgumu kupata suluhisho. Ni mtazamo tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom