[emoji1] [emoji1] ... Shukrani Mkuu.. Ila sina hata punje ya mashaka na Kerr, namheshimu sana, na nitamheshu siku zote.Mkuu sembo welcome back...mda mrefu sana uliluwa umetoroka na kerr yule kocha wenu mwenye leseni daraja A la FIFA..kwa mara nyingine karibu sana
Naskia Mo anaimendea timuHawa jamaa wanazichezea sana akili zetu.. Ila naamini siku zako zinaelekea ukingoni, kama si mwishoni.
Shukrani sana Mkuu.. Kwa uongozi huu, Uwanja wa Bunju kukamilika ni sawa na Ndala kuweza kupenya katikati ya miamba Etoile du sahel, Madeama na Fus Rabat.. na si kupenya tu, bali hata kuambulia pointi moja katika hilo kundi.. Jambo ambalo haliwezekani.Sembooo....pole bana ndo ukubwa huo...uwanja wa bunju vp au ndo ulikua umefuatilia wakandaras wa kichina?
weka akiba ya maneno...nliisha kuonya toka kipind kile nadhan kiwewe cha matokeo mabovu kimesababisha usahauShukrani sana Mkuu.. Kwa uongozi huu, Uwanja wa Bunju kukamilika ni sawa na Ndala kuweza kupenya katikati ya miamba Etoile du sahel, Madeama na Fus Rabat.. na si kupenya tu, bali hata kuambulia pointi moja katika hilo kundi.. Jambo ambalo haliwezekani.
Najua waqt mgumu mnao pitia lakini isikufanye upotee kwa kiwango hiki.Hali hii hutokea kwa kila timu so Jipangeni hayo makandokando yatoweni ila kiukweli sio simba tu hata timu yangu ya jangwani hii hali ya kutegemea mifuko ya watu wawili watatu tutakuja kulia siku moja.Inashindikana vipi hizi timu kuwa na vyanzo vya uhakika vya mapato?Haha.. Mkuu nipo.
Naahidi kumng'oa aveva kwa UDI NA UVUMBA .Aveva na "genge" lako;
1. Kwanini mnatufanya tunakua watu wa kuumia kila msimu?
2. Kwanini mnatufanya tunaishi kwa taabu mitaani?
Hivi haya Maisha tunayoishi sasa ya maumivu makali, mateso, manyanyaso, dharau, dhihaka.. na nyinyi ni sehemu ya maisha yenu ya Kila siku? Au wenzetu mpo sayari nyingine?
Haya mahabari [emoji116] [emoji116] tushayachoka.
Suluhu la timu yetu halitaletwa na,
1. Mafundi toka Mtibwa
2. Fundi anayecheza namba zote toka Ghana
3. Au beki aliyemliza Paul Kagame.
Mnatakiwa mfahamu kua..
1. Janja yenu ya kupeleka mkutano Mkuu mwezi wa 7 mkidhani machungu tuliyonayo sasa yatakua yameisha.. La hasha mmechemka.
2. Janja yenu ya kufanya usajili.. Ili kujaribu kutuzuga na vimaneno eti mchezaji anacheza namba zote.. Tumeishitukia.
Mwisho.. Mwezi wa Saba siyo mbali.. Jipimeni Mapema.