Avatar

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
 
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
Umenisababishia dhambi nyingi na hiyo ya kwako!
ibadilishe bana
 
Carmel.
out of curiousity..
unafikiri ya kwako
imewapa watu mawazo gani??
mimi naona hiyo iliyopo ni safi tu.
 
Umenisababishia dhambi nyingi na hiyo ya kwako!
ibadilishe bana
Samahani G, kiukweli kama nimekukwaza wewe na yeyote yule. Halikuwa lengo lengo langu kabisa.
 
inapagawisha watu sana, inaonyesha una wowow la nguvu linafukafuka humo kwenye panties............. naa mwenyewe unaringa kama nini, umetukeuzia mkia tcheki wenyewe hazina yako............. yaani watu wanaamnini ndivyo ulivyo...............

hata mie sio siri, kuna wakati nilitaka kijitoa JF kwa ajili yako nilipogundua.........................
 
Carmel.
out of curiousity..
unafikiri ya kwako
imewapa watu mawazo gani??
mimi naona hiyo iliyopo ni safi tu.
Mi i thought it is just a symbol which has nothing to do with a person. sikudhani kama watu wazima kabisa wanaweza kuchanganuikiwa na avator kwenye internet, lakini nashangaa.
 
Ulipogundua nii?
hamuoni kama huyo ni mchina, sijui mkorea i dunno?
 
naona wewe ulienda mbali zaidi!....
 
Vipi mummy! PM zimezidi nini? kiukweli ni kuwa watu wengi huwa wanahamasika kimapenzi kwa kuangalia avatar.Namaanisha wanaume wengi hapa JF huwa wanashawishika na urembo wa avatar.huu ni ukweli haupingiki.Anayebishia nimuone ni nani.
 
I thought you are talking about AVATAR the movie.... anyone watched this movie?

back to the topic what u think of my avatar?
 
Vipi mummy! PM zimezidi nini? kiukweli ni kuwa watu wengi huwa wanahamasika kimapenzi kwa kuangalia avatar.Namaanisha wanaume wengi hapa JF huwa wanashawishika na urembo wa avatar.huu ni ukweli haupingiki.Anayebishia nimuone ni nani.

hawatabisha hapo ni kweli tupu..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…