Avatar

Avatar

Ikena

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
553
Reaction score
398
Kuna avatar nimeimiss ipo kama mwili wa mwanamke lakini ikachakachuliwa ikaonekana kama bouncer flan ivi.

Naomba mwenye nayo aniwekee tafadhali.
 
Kuna avatar nimeimiss ipo kama mwili wa mwanamke lakini ikachakachuliwa ikaonekana kama bouncer flan ivi.

Naomba mwenye nayo aniwekee tafadhali.

Au ile ya silent whisper?
 
Wapi wewe! huyu ukimtuliza ukimfikisha usawa wa dirisha hakuna cha ubodebyulda wala u-heviweiti!

siku mkigombana, huna bahati. Lazima akutoe ngeu. Ukimuoa nunua kwanza meno ya bandia. Mana lazima yakong'olewe tu.
 
Back
Top Bottom