Jamani wana JF najihisi nagundu,maana kwenye acount yangu sina rafiki hata mmoja,ukizingatia sijui hata nawapataje,halafu mbona hamnijibu hoja zangu au ni za kimbwiga???Na nikianzisha topic hata hamchangii kulikoni??halafu wajameni mbona hata likes sipati??msinifanyie hivyo wajameni nisameheni bure kama kuna tatizo au avatar yangu ndio inatibua nyongo zenu??maana nyie nao mhhh......kidogo tu mnamaindi...

Mie sijawahi kukutana na hiyo ID popote humu jamvini.....ana avatar ya bendera ya chama au?Kabla sijaanza ku-speculate tatizo, utajali kupaste hapa avatar yako na details za hapo juu kulia? Kama umejiunga lini, umeshatoa likes ngapi na kadhalika. Samahani, niko via mobile.
Kama hujui jinsi ya kupata marafiki humu, most probably unatumiwa request na unashindwa kuwakubali.
Kabla sijaanza ku-speculate tatizo, utajali kupaste hapa avatar yako na details za hapo juu kulia? Kama umejiunga lini, umeshatoa likes ngapi na kadhalika. Samahani, niko via mobile.
Kama hujui jinsi ya kupata marafiki humu, most probably unatumiwa request na unashindwa kuwakubali.
Ibadilishe weka View attachment 45396
Ha ha ha!24years na miezi 11 na siku 16.
Ibadilishe weka View attachment 45396
Avatar yangu ya manchester united!inawezekana eeh??naomba unielimishe naziona wapi hizo request??
ah we noma.mamabo ya like humu ...................... ni kubali kuliwa ili ule...................... (7-6)=1................... bado unadai 1 mkuu................ vuta subira, ...................... kama vipi kaidai kwa iliyemgongea......................
mfalme lazima ubwebwe, so usishangae sana kwa MAN6 kubebwa coz anastaili.MAN6 ndio wale wanaobebwa bebwa daily!! ......... umejiunga lini?
King'asti,naomba tuwe marafiki,nakuahidi nitakuwa mwadilifu,no cheating!Kabla sijaanza ku-speculate tatizo, utajali kupaste hapa avatar yako na details za hapo juu kulia? Kama umejiunga lini, umeshatoa likes ngapi na kadhalika. Samahani, niko via mobile.
Kama hujui jinsi ya kupata marafiki humu, most probably unatumiwa request na unashindwa kuwakubali.
Una miaka mingapi?