Avatar ya The Boss

Mkulu mr anafanana sana na ile avatar ya mwanzo ata alipoiona kw mara ya kwanza he was like aaah wat baada ya kuitafakuri kw makini ndio akagundua si yeye ila wanafanana sana
Duuh..Kaazi kwelikweli...mumeo kabisa nae kaja kushangaa Avatar hapa JF!..kwa hiyo mkabaki mnashangaa!!!
 
Nitakupm lakini nahisi km AshaDii wa London vileeee nimeotea hapo uwongo uwongo!!!!!!!!! nakupunguzia gharama nitakutumia nusu kilo ya unga wa muhogo, ukwaju na pilipili mtama sawa mamy



ha ha ha... Laussane i see you today for the first time and i like you already....lol

Asante... naona sasa nitume maelekezo jinsi ya kupata...
 
ha ha ha... Laussane i see you today for the first time and i like you already....lol

Asante... naona sasa nitume maelekezo jinsi ya kupata...

Thanks my Rafiki AshaDii, ni pm kw ful address nisalimie watoto wangu wazuri wadada wawili wale
 
Habari zenyuuuuu kwa ujumla. Aine usisome hapa usijenitoa macho
 
Nitakupm lakini nahisi km AshaDii wa London vileeee nimeotea hapo uwongo uwongo!!!!!!!!! nakupunguzia gharama nitakutumia nusu kilo ya unga wa muhogo, ukwaju na pilipili mtama sawa mamy

uSISAHAU TENDE NA HALUA
 
May be nichangie kwasababu nilipoiona hii mpya nilitaka kumshauri TB arudishe ile ya zamani..... Mabali na ushauri uliotolewa na Asha D kwamba ile ya zamani inaendana na Jina lake, Pia iliendana sana na Comment zake.Hii ya sasa imekaa "kiuza sura" zaidi. Tafadhali TB rudisha ile Avatar ya zamani.

Nawasilisha.
 
Leo naona umeingia kiaina kabisa,yetu macho.
 

ha haaaaa
i am speechless hizi avatar hizi
ombi lako nalifikiria....
 

yaani wewe....lol
these days you sound like my secretary who knows too much
about my bussiness lol
i will have to fire you soon lol
lmao........
 

thanx
sikujua ile avatar ilikuwa na fans wengi
wewe karibu wa tano kuniamiba hivi lol
yaani.......
 
nakubaliana na mkirua na ashadii...that avatar had a lot of similarities kati ya personallity na comments zako. irudishe tafadhari. u may keep this at your site
 
Utakuwa umekosa cha kufanya mpaka unafikilia AVATAR?

are you jobless, widow or umeachika???

Kama kawaida wewe na pumba tu,twambie mgao wa umeme utaisha lini,...
na mafisadi watashitakiwa lini,na kuvuana magamba kutamalizika lini?
(wewe ukiwa moja ya gamba linalotoa magamba mengine)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…