Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
utafutaji sasa Lady doctor si unajua mipango ya hapa mjini, yeye mwenyewe kaniambia eti anataka gari nzuri, akilipanda tu pichu inaloa! sasa unadhani mm nitafanyaje na nataka nitimize matakwa yake kwa kadri niwezavyo! unajua kuna siku moja Mrembo by Nature katoa dongo eti wanaume makini wapo mishemishe wanasaka nyururu hawashindi humu JF, na nilimwelewa vema!
Special dedication to Heaven on Earth
Down in the lonely broken heart
Touched by a loving arm of Mshanajr
Chords that are broken
Will vibrate once again!!
Hata sisi timo aisee
hii imedoda mkuu!
wife yupo hapa ubavuni anahema kwa kishindo, chezeiya mziki wangu weiye!
kama unaangaliaga futiboli kaangalie mikanda ya ronaldinho gaucho ndio utaelewa huu mchezo ulivyochezwa!
Aah wapi mbona yupo kwangu since las nite kama huamini muulize! Huyo ulonaye ni copy
we endelea kupambana mkuu, hata hivyo wanasema askari kufia vitani sio aibu ni ushujaa! kwa hiyo hata wewe ukifia haya mapambano ni ushujaa vile vile au unasemaje?
ngoja kwanza nimembeleze wife mkuu! nitakucheki baadaye!

Hahahahahah...thanks braza.Hata yako ni bomba tena kuzidi ya kwake, naomba nikusifie wewe kule natishiwa nyau
mapemzi unayonipa sijawahi kupataa......
Najiuliza ni kwanini hatukujana mapemaa!!!!!!!!!!!
Poa poa
Nimekubali mimi kushindwa jamani japo......!naomba niwe mrithi officially in the case of ur .....xpiryUsaijali bebi Kuna kamsemo kanasema: a strong wood is from a strong wind, hivyo usijali tumeidhihirishia ulimwengu hao strong we are! thanks sana mshana jr!