huyo ndo mmi Afrodenzi huwa napenda kuweka mambo wazi nilienda kwa mchoraji maarufu yule aliechora picha ya mkuu wa kaya(jk) ndo nami akanichora,mnh ha haa kweli ya kwako ni cute face
hahahahaha lohhh
Embu nawe tuambie hizo grills ni diamond, Gold au silver lol...
Mmmh!Hebu tuambie kidevu umeacha wapi kwanza?
Mmmh! Afrodenzi,hahahahahah
nlikuwa sijagundua huna kidevo hahahah lol...
Mmmh!
Hukioni? Leo imekuwaje tena unanigeuka partner?
Kama unatumia simu, Switch kwenye PC mode utaziona!Mi haka kasimu ka mchina wala hakaoneshi hizo avatar
aaah nshawahi ingizwa mujini ndgu...........hvo nkaona njiite mikatabafeki tu kila nkilisikia hli nneno huwa nalia tu peke anguThanx mikataba..
Hiyo mikataba feki ndiyo ipi?
hahahahahahahah looooh
naona mnamwandama Rejao kweli leo
kwani nini wasema ulivyosema??
<br />Hebu tuambie kidevu umeacha wapi kwanza?
. sijaelewa kama ni mapenzi,