Avatar mpya ya Kongosho mmmmmmhhhhhh!!!!!

Mambo powa mzee wa mia, umemuona Kongosho amekuja kivingine
 
ntatoka ar na ungo wa asubuhi
by saa 9 ntaanza mkutano
hivi dagaa anaitwaje kwa kizungu??
Nataka niwachekeshe kwa mfano wa dagaa
afu simjui hadi saa hii

Kifodi kinafika?
 
wale wote ambao mmechakachua uzi wangu mkiongozwa na Lizzy,Kongosho,Nitonye na Figa nakwenda kuwafungulia RB!sikubali kabisa hii dhulma.
 
ulizimika?
Una bahati, ningeku... Sana jana

wale wote ambao mmechakachua uzi wangu mkiongozwa na Lizzy,Kongosho,Nitonye na Figa nakwenda kuwafungulia RB!sikubali kabisa hii dhulma.
 
wale wote ambao mmechakachua uzi wangu mkiongozwa na Lizzy,Kongosho,Nitonye na Figa nakwenda kuwafungulia RB!sikubali kabisa hii dhulma.

Tatizo lako uliondoka ungekaa yasingetokea haya
 
Hizi avatar nyingine zitatufanya wengine tushindwe kwenda mbinguni......

Ngoja niende zangu jukwaa la dini...😛hoto:
 
nimekumiss dear
Kusema za ukweli Kabakabana, mi avatar yako ishanipeleka toilet mara nyingi sana na Revola yangu...

Yaani nimeshaifanyia dhambi mara nyingi tu....

Waweza niifanyia mpango ukautoa huo mkono wa kulia hapo ili mwenzio nipate sababu ya kwenda mbinguni?
 
apaaaa babako
 
wale wote ambao mmechakachua uzi wangu mkiongozwa na Lizzy,Kongosho,Nitonye na Figa nakwenda kuwafungulia RB!sikubali kabisa hii dhulma.

Nna buzi linafanya kazi sentro. . .utajiju.
 
mmmmhhh we Aspirin wewe,hebu ngoja niite ambulance tukurudishe mwananyamala,maana...........
 
Babu ODM,
huu utundu wa kusuka ukili ukiwa umekaa kwenye kiti umeanza lini?

Maana raha ya ukili mkekani.

ningekula hizo ndizi nyuma yako bila kukugusa

ndo ungejua ni hatari kuishi karibu na kiwanda cha mafuta
kwani wewe ni He au She? Ngoja nimuulize Lizzy.
 
Hahahaha ndio itakuwaje?!
Rijamaa ritaniacha au riujeuri ritaniisha?!
we subiri,bado ninascout humu jf,nataka nimpate player akuwashe mimba kisha aupwake ili na wewe uje mmu ufungue uzi wa lonely heart....'oh wana mmu nisaidieni bishanga kanipa mimba kisha kauchimba,nataka nijiue...bla bla...'
 
Hahahaha Bishanga bana. . . hiyo kitu haitokaa itokee. Na hapo namaanisha kujifanya "Miss Lonely Heart". . mwenyewe ndo utaanzisha ya "sikumthamini na sasa SIAMINI" maana hata ukirudi hutopata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…