Hahahaaa...hili nalo neno. Usikute jamaa wanaogopa wakianza kukujadili utawzukia usiku. maana umekaa "kimlingotini" ile mbayaAvatar
avatar...
Mbona yangu haijaazishiwa thread jameni? Na huo mduku wote...
Sasa kumbe? Au ile kampeni uliyokua unamfanyia . . . . ni geresha tu?he he he
hivi ni wetu eeh
mkakati wa mwaka huu ni mkurabita
lazima ulipe
Sasa kumbe? Au ile kampeni uliyokua unamfanyia . . . . ni geresha tu?
ilikuwa very true
ntaifanya hadi itoe majibu wazuri
nimekumiss dear
Dah na mimi nimekumiss sana yaani pale kati dah
Hahahaha basi jitahidi niwe "wenu".
BTW ingekua ni fresh kutoa ishu za PM jamvini ningekuchekesha kitu ila ngoja nimezee.
nichekeshe kwa PM tu
unataka uchekeshe hapa afu uharibu
Hhhmm ila naogopa kuitwa mmbea. .
Alafu PM yako mi nilijua ina lock. . nifungulie ntaingia.
Hahahaaa...hili nalo neno. Usikute jamaa wanaogopa wakianza kukujadili utawzukia usiku. maana umekaa "kimlingotini" ile mbaya
Najua unavyopenda umbea. . . utadhani umelogewa!! Sema ole wako siku unigeuke yawe yale ya darasa la pili. . .Mmbea nani atasema
itakuwa kati yetu tu
tuma tu sijalock
si unajua tena
naweza funga safari hadi china
kufuata umbe
Najua unavyopenda umbea. . . utadhani umelogewa!! Sema ole wako siku unigeuke yawe yale ya darasa la pili. . .
Hahaha. . .yani wewe!!I swear on my new shoes,
a'm a man of my words.
Huwa sivunji uaminifu kabisa
hasa kwa 'juicy details'
Hahaha. . .yani wewe!!
Haya ngoja nifikirie ombi lako.
Mkutano wapi nikuletee bahasha lililojaa umbea?fikiria haraka haraka basi
silali nasubiria
afu kesho na mkutano na wazungu
nikichelewa kulala kingereza kinapaa
si unajua kingereza nao ni wito kama udaktari tanzania
ndo yupo chuo hapo. sema masomo hayajaanza. huyu atakua anapotea siku za paper tu.hivi wr unafikiri huyu ana ubavu wa kukosa jf wiki? kama vipi atajitahidi aingie kama vistor. kama huamini tumwambie paw ampige ban halafu uone atakavyo toa povu. mambo vipi mkuu?. miaHujaenda chuo bado mbona unalandalanda humu
Mkutano wapi nikuletee bahasha lililojaa umbea?
Kifodi kinafika?ntakuwa serena
zamani move n pick
nshaanza kuji-position
ntakuwa na suti ya blood orange