Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Dah... Kuna avatar huwa nikiziona hapa JF huwa najiuliza mpaka mpaka mtu anaingia setting, anaweka avatar flani huwa anawaza nini!!!
By the way, kuna avatar zinapendeza, nyingine zinatisha zilivyo na kufikisha ujumbe kwa wana.
Hebu ione hii ya mkuu mab... (name calling, lol)
Hii hapa ni ya jamaa mmoja hivi, huwa nikiiona nahisi na yeye yuko hivyo hivyo!
Mr shake body... If you want my money! lol
Jiulize kwanini ulichagua avatar flani na si nyingine...:confused2: