donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Aiseee mambo matamu ngoja niagize kwa masawe pamoja na nyagi
Aseehh uyu mdudu ni mtamu hatarii,.. Ukipata na Serengeti light bariiidiii!!!!
Serengeti ina struggle sana na market safari ndogo zimearibu soko la bia nchini,..Duh nimekuja Mbeya uku Serengeti lite za kuzisaka vibaya mno na ukizipata bei juu kinoma.
HahahaAseehh uyu mdudu ni mtamu hatarii,.. Ukipata na Serengeti light bariiidiii!!!!
Hatar mkuuAiseee mambo matamu ngoja niagize kwa masawe pamoja na nyagi
Hivi ziko kama castle lite?Duh nimekuja Mbeya uku Serengeti lite za kuzisaka vibaya mno na ukizipata bei juu kinoma.
Hivi ziko kama castle lite?
Unataka zifungiwe kama viroba? Wacha wanyonge wa magufuli nao wapateSerengeti ina struggle sana na market safari ndogo zimearibu soko la bia nchini,..
Unamaanisha analiwa sio?Aiseee mambo matamu ngoja niagize kwa masawe pamoja na nyagi
yeahUnamaanisha analiwa sio?