Availability of local chanes through decoders | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Availability of local chanes through decoders

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MamaTaby, Sep 14, 2012.

 1. M

  MamaTaby New Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi!
  The TCRA are winding up the analog communication and opening the gateway to Digital.. Am afraid of their readiness since only the TBC's, Chanel Ten and the CLOUDS are the only available through the Star times for example as a service provider while other Local TV stations are also operation through digital format i.e their signal can be available through the decoder ...Up there stakeholders could you justify to us whats real going on?.
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kiingereza chako hakina mvuto. Yaani ni kibaya kwa kifupi. Kwa maneno mengine hujui kiingereza. Kwa lugha rahisi chukua English course haraka.
   
 3. M

  MamaTaby New Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natumai hujambo ....
  Matumizi ya kiingereza si hoja ni lugha ambayo huwenda mm na wewe ni wanafunzi na tutaendele kuwa kwani si lugha yetu mama...Hoja ya msingi hapa ni upatikanaji wa stesheni/chaneli za nyumbani kupitia vingamuzi hasa kama startimes ambacho kwa sasa kinatumika na wengi tukienda sambamba na mpamgo wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kuelekea zama za digitali kuachana na analogia....KULIKONI KUTOKUPATIKANA KWA CHANELI HIZI KWENYE KINGAMUZI HIKI TENA KWENYE KIFURUSHI AMBACHO MTANZANIA WA KAWAIDA ANAWEZA KULIPIA?
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Radhia Sweety ni mwalimu wa kiingereza?
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Halafu sijaelewa hoja hii imeingia vipi kwenye Congrats,Complains and Advice!
   
 6. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  teh teh teh, MamaTaby, karibu JF, humu kuna watu wa kila aina, wanaodandia treni kwa mbele, na wanaokurupuka usingizini na kuanza kubwabwaja. Anyway, kabla ya dec 31, kuna huduma nyingi tu zitatokea, kwa hyo vuta subira tuone hawa providers tulionao.; Startimes, Zuku, EasyTV, TING, na cable TV companies kadha wa kadha, watatoka vipi. Pia, pitia tech forums, kuna mawili matatu utayapata huko. KARIBU SANA!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Du! kiumbe unajua Kiswahili!!!
   
Loading...