Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Habari zenu wadau.Mimi ni mtaala wa mambo ya Automotive interior. Nainstal soft tops,rooflining recovering,car carpets,Door panels, plastic repair,seat redying(vinyl and leather seats) and more. Nahitaji ushauri wenu kwasababu ninampango wa kuja kufungua kampuni yangu huko Tanzania, naomba mniambie ni sehemu gani naweza nikaweka kampuni hii na vipi kuhusu uhitaji wake. Mimi Kwa sasa ninaishi Cape town na ninafanya kazi katika kampuni moja kubwa sana Ya interior designing and engineering. Pia nishawah kufanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza magari cha Mercedes Benz.
UPDATES:
Jamani nimefika tz salama kabisa na ningependa kuwafahamisha kuwa nipo Tz na Kama una kazi inayohusu interior ya Gari yako basi tuma Message kwenye namba hii 0783433287. Nielezee tatizo la gari yako,aina ya gari na Location yako.