Autographs za sekondari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Autographs za sekondari

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jibaba Bonge, Mar 12, 2010.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kwa wale wa miaka ile mnakumbuka zile AUTO ambapo mtu alikuwa anamuomba mwenzake ajaze kwenye auto personal particulars kama names, parents names, likes, dislikes, ambitions, ushauri kwa mwenye auto etc. kulikuwa pia na short word ambazo kila herufi ili-represent neno. kwa wale wanaokumbuka tujikumbushe
   
Loading...