Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

Shikamoo kaka Toyota probox nyeusi bei yake
Hii Rangi adimu sana, nyingi ni silver na nyeupe but huwa zapatikana bei ni Kuanzia 11m
Inapanda kutokana na mwaka
Hello members ,
Jina langu Renyo Msuya,
Nafanya kazi katika kampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania.
Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei rahisi kabisa.
Autocom Japan Inc, Tanzania Branch.
Office location: Quality Center/Mtava -Along Nyerere Rd.
Contact/Whatsapp: +255 767 328 063
Email: msuya@autocj.co.jp
Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan

View attachment 472636
 
Bei ya gari inajumuisha vitu gani mfano kununua na kusafirisha gari tu au manunuzi, kusafirisha, port clearance na duty zote.
 
Ukikuta Gari huko nje inauzwa $ 500,ukitaka kuinunua na kyisafilisha pamoja na ghalama za kodi mpaka kuiweka mkononi mwako,hiyo itaghalimu kiasi gani kwa pesa za kitanzania?
 
Mitsubishi outlander ya mwaka 2006 bei gani Msuya?
Ushauri wangu chukua ya 2007 kodi yake imepoa
Gharama kamili 23m
03961591f3a6e7f3a5d4ac2a647064f3.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom