Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

Duuh napenda magari haya body kama rav 4 new model au zile za 2010 makubwa makubwa ila hiyo hela ilivyo ngumu ngoja niusifie mwendokasi
 
Mkuu we ni msumbufu kakupa audi A4 na bei na picha kasoro rangi tu ukasema unataka nyeupe sasa unadhani rangi itabadili bei? Au unataka jamaa akujibu nn? Umeshajua bei kama upo serious mfate inbox mfanye biashara.
Sijui hata umeandika nini. Nadhani ni jambo la kistarabu sana kujali biashara zako na kuacha mambo ya yasiyo kuhusu. Mind your business brah, BTW nataka aniambie kama hizo rangi zipo na sio bei.
 
Sijui hata umeandika nini. Nadhani ni jambo la kistarabu sana kujali biashara zako na kuacha mambo ya yasiyo kuhusu. Mind your business brah, BTW nataka aniambie kama hizo rangi zipo na sio bei.
mkuu wewe si mnunua magari. Una hobby tu so unapenda kujua bei nk. Wenye kununua magari unadha
ni huwa wapo hivi?

Anyway im minding my own bussiness
 
Sijui hata umeandika nini. Nadhani ni jambo la kistarabu sana kujali biashara zako na kuacha mambo ya yasiyo kuhusu. Mind your business brah, BTW nataka aniambie kama hizo rangi zipo na sio bei.
Hapana yupo sahihi ww ni msumbufu, because wengine tupo hapa kuangalia comments za watu so akiuliza mtu swali na akijibiwa ni faida kwetu so unataka akujibu ww tuu kwenye swali ambalo halina kichwa wala miguu?
 
Toyota Raum Tsh ngapi mpaka Dom?
boss raum bei ni kuanzia 10.3m mpka hapa dar es salaam, kuja mpaka dodoma itabidi tuongee kuhusu mafuta na dereva but haitozidi laki 4
 
Attachments

  • 324717-01.jpg
    324717-01.jpg
    34.5 KB · Views: 301

Similar Discussions

Back
Top Bottom