Australian ‘smokes’ Koran, Bible pages

not all human rights are godly, some are satanic, nadhan tunaitaji mjadala mzima kuhusu haki za binadamu, watu wengi wanaizungumzia haki za binadam kijuujuuu tu wanashindwa kuelewa ktk hizohizo haki za binadam, kuna nyingine ni za kishetani kwa wale wanaoamin dini nk, tulipokubali kuzxisujudia haki za binadam indirect pia tumekubali kumsujudia na shetani kwani inahalalisha baadhi ya mambo ambayo zamani yalikua yanaonekana ya kishetan!
 
We bwana umenichekesha sana kwa huo mchangio wako. Mimi hushangazwa na watu wengi sana hapa Afrika na tabia yao. I mean, tuko katika karne ya 21, na watu baado wanaamini kuna mashetani na majini>

Makubwa haya
 
Ningekuwa kwenye nafasi ya mamlaka ninge toa adhabu kali sana kwa watu wanaoamini na ku-practice imani za giza. Si-jawahi amini kuwa ndani ya karne hii people could be so dependent on superstitions. Kinachoshangaza zaidi hata wenye elimu wanaamini giza. How could that be? Tukishindwa kufutilia mbali imani hizi hata mauaji ya albiono yata tupa changamoto. Ni sheria gani inaruhusu waganga kuweka mabango barabarani eti wanayo dawa ya kukuza makalio, kuleta pesa , wachumba n.k? Why shouldnt these people get punished? vitu kama hivi vipo hata nchi zilizoendelea kweli??? Kwanini serikali inaruhusu haya matapeli yanatapeli watanzania? kuna uhusiano mkubwa kati ya umaskini na imani za giza.QUOTE=MkenyaMzalendo;1083128]We bwana umenichekesha sana kwa huo mchangio wako. Mimi hushangazwa na watu wengi sana hapa Afrika na tabia yao. I mean, tuko katika karne ya 21, na watu baado wanaamini kuna mashetani na majini>

Makubwa haya[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom