hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,377
hahahaa " bangi bwana''Mbona hata mdogo wangu amedukua staili mpya ya Kupiga puli toka kwangu. Nitampa tuzo kwenye kikao cha Familia.
hahahaa " bangi bwana''Mbona hata mdogo wangu amedukua staili mpya ya Kupiga puli toka kwangu. Nitampa tuzo kwenye kikao cha Familia.
tena ndani ya dakika 15 tu ...atajuta kwanni ana mwili wenye nyama nasio wa chumaIt possible. Binafsi i know how. But nikwambie it is so risky ..ni hatari sana maana ni rahis kujua attack imetoka wapi. Kinachofuata ni noa nyeusi kupaki nje kwenu
Nilikua napiga A ya Math, biology na kila somo unalolijua tena sikua msongolist right nao Sina ajira sekta yyte hapa bongo naendesha bodaboda tu mjini apaNaona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
Hivi TRIANGULATION bongo inawezekana? Manake nataka ni break firewall za nanihii........It possible. Binafsi i know how. But nikwambie it is so risky ..ni hatari sana maana ni rahis kujua attack imetoka wapi. Kinachofuata ni noa nyeusi kupaki nje kwenu
Mkuu umepiga language ngapi za computer mpaka kufikia level hiyo ya kucheza na firewall za watu? Nataka nijue ni idadi ngapi ya language itanifanya nitimize ndoto.It possible. Binafsi i know how. But nikwambie it is so risky ..ni hatari sana maana ni rahis kujua attack imetoka wapi. Kinachofuata ni noa nyeusi kupaki nje kwenu
Mkuu wacha utani yaani hata ualimu wa sayansi au udaktari haujachukuliwa?Nilikua napiga A ya Math, biology na kila somo unalolijua tena sikua msongolist right nao Sina ajira sekta yyte hapa bongo naendesha bodaboda tu mjini apa
Aisee? mtoto wa Tandahimba ataweza kweli?Kijana mmoja kutoka nchini Australia ame dakua network ya apple na kuchota data za GB 90
-baada ya kudakua akaenda whatsapp na kuanza kuelezea tukio ndipo hapo likastukiwa aliandika anaipenda Apple na angependa kufanya kazi hapo na pia file za hizo data ame lisave 'hacky hack hack'
-APPLE imesema data za watumiaji wake zipo salama salimi
Huyo ni kutoka australia hapa kwetu kijana wa miaka 16 sijui hana kiwango gani mwenye mambo ya nje ya shule
==========
Internet.org
==> Internet.org
Kwa huku kwetu unadhan ni tatizo la mfumo wa elimu au mfumo wa familia, maana kuna watoto wanasoma IST hapo wapo vizuri sanaKijana mmoja kutoka nchini Australia ame dakua network ya apple na kuchota data za GB 90
-baada ya kudakua akaenda whatsapp na kuanza kuelezea tukio ndipo hapo likastukiwa aliandika anaipenda Apple na angependa kufanya kazi hapo na pia file za hizo data ame lisave 'hacky hack hack'
-APPLE imesema data za watumiaji wake zipo salama salimi
Huyo ni kutoka australia hapa kwetu kijana wa miaka 16 sijui hana kiwango gani mwenye mambo ya nje ya shule
==========
Internet.org
==> Internet.org
Swali zuri sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
hawajitoi walikutana na hali zilizozungukwa na mazingira na mambo yaliyo nje ya uwezo wao walichokosea ni kutumia neno sisi.Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
Rekebisha hapo hakuna kinachomshinda kwenye computer. Tunatakiwa kujiamini lakini hatutakiwi kujiamini kupita kiasi.Mdogoangu ana miaka kumi16 anafunga dish za ainazote na hakuna kinachomshinda kwenye kompyuta nazani akikazania shule atakua na kipaji cha hatar huko mbeleni
embu toa upuuzi wako hapa, kufunga dishi la azam nacho ni kipaji?mnatokea wapi nyie watu?Mdogoangu ana miaka kumi16 anafunga dish za ainazote na hakuna kinachomshinda kwenye kompyuta nazani akikazania shule atakua na kipaji cha hatar huko mbeleni