Australia: Dogo wa miaka 16 ame hack network ya Apple aiba data za GB 90

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
Kijana mmoja kutoka nchini Australia ame dakua network ya apple na kuchota data za GB 90
-baada ya kudakua akaenda whatsapp na kuanza kuelezea tukio ndipo hapo likastukiwa aliandika anaipenda Apple na angependa kufanya kazi hapo na pia file za hizo data ame lisave 'hacky hack hack'
-APPLE imesema data za watumiaji wake zipo salama salimi
Huyo ni kutoka australia hapa kwetu kijana wa miaka 16 sijui hana kiwango gani mwenye mambo ya nje ya shule
==========
Internet.org
==> Internet.org
 
no safe system>/
 
Hapo bongo umri huo kashaanza kula ugoro na tunguli kasharisishwa na wazee
 
Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
Sikufanya kama Yeye ila 16 Years nilikuwa Goalkeeper Namba moja kwenye Timu yangu ya shule na Eneo ninalokaa.
 
Wampe tu Ajira ili awasaidie ku hack data za Samsung, miaka kama hio ulikua utanambia nini kwa Puli nikuelewe
 
Hapa kwetu dogo wa miaka 16 ni admin wa magroup 13 ya Whatsapp ana account mbili Instagram moja anatumia ID yake nyingine ni feki anapost ujinga yupo FB hana kaza lkn anamiliki smartphone na ela bado hakos, 24/7 yupo online anaamka saa 4
Asa anakuwaje online 24/7 afu anaamka saa nne mkuu? Au 24/7 maana yake ni nini?
 
Kijana mmoja kutoka nchini Australia ame dakua network ya apple na kuchota data za GB 90
-baada ya kudakua akaenda whatsapp na kuanza kuelezea tukio ndipo hapo likastukiwa aliandika anaipenda Apple na angependa kufanya kazi hapo na pia file za hizo data ame lisave 'hacky hack hack'
-APPLE imesema data za watumiaji wake zipo salama salimi
Huyo ni kutoka australia hapa kwetu kijana wa miaka 16 sijui hana kiwango gani mwenye mambo ya nje ya shule
==========
Internet.org
==> Internet.org
Kutana na Mtoto wa kitanzania anayetengeneza Application za simu na kuwauzi Nokia. - NYUMBA YA HABARI
 
Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
hahahaa waulize mpaka sasa wanaweza kudukua server za apple "" ? ila huyo dogo ni hazina kwa nchi yake
 
Back
Top Bottom