Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Katika kipindi cha amplifier cha Millard Ayo Msanii wa filamu wa bongo movie amempiga dongo mbunge wa Arusha Godbless Lema kwa kile alichoda kuwa waziri wa maliasili na utalii mh. Lazaro Nyarando alikuwa anatanua Marekani na na aunty Ezekiel pesa za umma.
''Mtu mzima, mbunge mzima anakosa point na kudandia mambo ya facebook na instagram na kuyapeleka bungeni kwani hana mambo muhimu ya kujadiri au hana point? Akiambiwa alete ushahidi ataanza kutoa macho, mimi ninao ushahidi walionialika na nilikofikia namshangaa sana huyo mtu, aliongea Aunty Ezekiel.
Ni kweli kwa heshima ya bunge tukufu ni aibu sana mbunge mzima kusimama na kutoa hoja dhaifu kama hiyo ili mradi aonekane anaongea bungeni.