Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.

Yaani wewe mwita husomeki kabisa.Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
<br />Hii inazidi kunipa picha harisi <b>mwita25 </b>ni mwanamke wa aina gani(Samahani kama nimekosea jinsia yake), huwezi ukaleta mada hapa jamvini zinazohusu mambo binafsi ya mtu fulani, nenda kawaulize watu wa jamii yako wenye mda wa kufuatilia elimu na ndoa za watu. aaaaagh!!!!!!!
<br />Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
nina idea kidogo ya anayosema.QUOTE]
Ongeza uelewa kwanza ndio utajua kinachofanya watu wamponde, idea tu ya saikolojia haiwezi kukupa wigo mpana wa kuelewa.
Hili jina Gandhi linanikumbusha kamanda HattyMcGhee. Kiboko ya Nyerere.
Hili jina Gandhi linanikumbusha kamanda HattyMcGhee. Kiboko ya Nyerere.
Ukishataja neno Clouds ujue hapo elimu sio kigezo cha kuwepo au kuitwa pale,ukishajua kuongea saaana na ujanja mwiiingi pale ndio sehemu yako,nawashangaa wasomi wanaosikiliza Clouds.Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.