Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Pale UDSM kuna kitengo cha sanaa, nadhani hawa akina anti nani sijui kama wangekuwa wanataka kuboresha maigizo yao wangewatumia wataalum waliopo pale, na pia kuna chuo cha sanaa bagamoyo.
 
Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
20aecc8e906dc6be43d324f47c9fb8f2.jpg
Ha ha ha jini laogopa vuka barabara
 
Nani anataka ujinga kuangalia mtu anawaza miaka kumi iliyopita yupo club anasikiliza nyimbo ya kokoro
 
Tatizo ni stori za movie na creativity hakuna siku Uzi. Kingine mliharibu pale mhindi alivyowalazimisha mshushe bei ya CD zenu pale ndipo mlipopoteza uthamani wenu ... Ilitakiwa mpande na sio mshuke. Sasa mnakazi kurudi kama zamani inatakiwa muinvest kwenye movie, igizeni na wasanii wa nnje na stori zenu zisijirudie rudie njoo na story mpya zile za mapenzi acheni na punguzeni tumeshazizoea. Fuateni mfano wa marehemu Steven kanumba basi. Alikuwa harudii stori mfano mdogo fake smile,stollen will,village pastoer, red Valentine,uncle JJ, n.k yaani alikuwa mbunifu kwa kweli toka amefariki nilifuatilia job kidogo tulitegemea ndio angekuwa mrithi wake lakini nae hana creativity ukichukua movie zake tatu alizotoa mfulululizo zinakaribia kufanana. Star wewe,main actor wewe,editor wewe,director wewe, producer wewe, script wrigter wewe. Unafikiri utakuwa na mawazo gani mmbadala hapo. Jifunzeni distribution of power na wekeni wataalaamu ktk kila sector kulingana na profession yake.
 
Tatizo ni stori za movie na creativity hakuna siku Uzi. Kingine mliharibu pale mhindi alivyowalazimisha mshushe bei ya CD zenu pale ndipo mlipopoteza uthamani wenu ... Ilitakiwa mpande na sio mshuke. Sasa mnakazi kurudi kama zamani inatakiwa muinvest kwenye movie, igizeni na wasanii wa nnje na stori zenu zisijirudie rudie njoo na story mpya zile za mapenzi acheni na punguzeni tumeshazizoea. Fuateni mfano wa marehemu Steven kanumba basi. Alikuwa harudii stori mfano mdogo fake smile,stollen will,village pastoer, red Valentine,uncle JJ, n.k yaani alikuwa mbunifu kwa kweli toka amefariki nilifuatilia job kidogo tulitegemea ndio angekuwa mrithi wake lakini nae hana creativity ukichukua movie zake tatu alizotoa mfulululizo zinakaribia kufanana. Star wewe,main actor wewe,editor wewe,director wewe, producer wewe, script wrigter wewe. Unafikiri utakuwa na mawazo gani mmbadala hapo. Jifunzeni distribution of power na wekeni wataalaamu ktk kila sector kulingana na profession yake.
 
Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
20aecc8e906dc6be43d324f47c9fb8f2.jpg
hapo sina tatizo wakati mwingine jambazi anaweza kuvua viatu ili kunyata vizuri tokea nje ili sauti ya viatu isisikike.. JAMANI WABONGO TUACHE KUFIKIRI KWA KUTUMIA SEHEMU ZETU NYETI
 
Wengi wanaoigiza Hawana malengo na uigizaji lengo lao ni kupata umaarufu wajulikane wapat sponser au kama vidume wapate majimama wa kuwalea ,na ukweli kabisa kwa malengo yao haya hufanikiwa ,Na kudidimiza sanaa kila kukicha baada yakunyanya .....
 
Back
Top Bottom