Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Hivi visomo vingine ni dini au ulozi?
mimi sielewi matumizi ya hiyo kitu inaitwa Albadir, maana mtu akikukosea unamtihia kumsomea, and how it work....Tumain atatoa ufafanuzi , kama mtu akinikera naweza kumchapa na hiyo kitu.Baada ya kuongea na Sarah, gazeti hili lilichoma muda wake kuongea na Shehe Yusuf Kinduka wa msikiti mmoja jijini Dar es Salaam ambaye alisema kuwa albadili ni kisomo cha kiapo kwa watu ambao wanasuguana.
Ni kiapo tu, huyu anaweza kumtuhumu mwenzake ambaye naye anakuwa anapinga, kwahiyo albadili husomwa hapo kwa lengo kwamba kama ni kweli mtuhumiwa ni mkosaji basi apate adhabu kutoka kwa Mungu endapo atakuwa amesingiziwa, adhabu itamrudia yule mlalamika.
Si dua nzuri kuisoma kwa mtu kwa sababu inapojibu, huwa inakuwa kali mno kwa yule inayemshukia. Kwa kawaida haina gharama, ni bure kwa sababu ni kumshtakia Mungu ila unaweza kuamua kutoa sadaka pale unapoona inabidi, alisema Shehe Yusuf.
Alisema, hapo kabla hakuwahi kuwa na ugomvi na Aunt kiasi cha kufikia hatua ya kumzushia fumanizi, isipokuwa alichokitekeleza ni kile alichokishuhudia kwa macho yake kwamba mrembo huyo alimsaliti kwa kutoka na aliyekuwa mchumba wake ambapo aliwanasa kitandani kwake.
kwani nielimisheni mwenzenu kwani Aunt EZEKIELI ni nani hasa...? maana naanza kushangaa mwenyewe kumbe ni mtu maarufu sana, kiasi cha watu kuwa hata na picha zake
ooh asante sana, je unaweza ukanipatia na cell namba kake...asante
ooh asante sana, je unaweza ukanipatia na cell namba kake...asante
Hivi visomo vingine ni dini au ulozi?
hivi kwa mfano kasomewa albadir , harafu kavimba tumbo, harafu kapelekwa UFUFUO NA UZIMA kaombewa kwa jina la yule aliye kinyume na mashetani na mapepo yaani YESU, hara akapona, sasa hapa naomba mnijuze si ina maana albadir itakuwa ni nini?Hivi visomo vingine ni dini au ulozi?
huyu atakuwa anaabudu mapeppo, maana hayana maarifaHuyo dada anayejifanya kutaka asome hiyo albadiri angejisomea mwenyewe ili ajue alichokikosa mpenziwe kwake mpaka akamfuata mrembo wetu Bi. Anti..
Kwani ni kweli huwa vinafanya kazi au ni hofu tu ya watu?😕
ooh asante sana, je unaweza ukanipatia na cell namba kake...asante
Unaweza mpata kwa email yake : auntezekiel12009@yahoo.com, usiache kuniPM na kunipa thanks!
hii Albadir naomba isisomwe manake itampitia jamaa yetu humu JF anaitwa NDUGU.jamaa amezimika sana kwa huyu binti hadi alimuanzishia thread.D;D;D